Jinsi ya Kutengeneza angalau Elfu 10 kwa Siku - PESA ONLINE

Latest

Thursday, March 19, 2020

Jinsi ya Kutengeneza angalau Elfu 10 kwa Siku




Habari ya jumatatu na karibu kwenye makala nyingine, siku ya leo nitaenda kuonyesha njia rahisi sana ambayo unaweza kuitumia kutengeneza pesa mtandaoni hadi kiasi cha dollar 4 kila siku kwa kualika watu kwenye tovuti.
Njia hii ni rahisi sana guys na ukweli inahitaji tu jitihada na pia kama wewe ni mtaalamu wa kushare link kwenye magroup mbalimbali basi nakuhakikishia utaweza kutengeneza pesa ambayo inaweza kukusaidia kufanya mambo madogo madogo. Pia uzuri wa njia hii ni kuwa huna haja ya kununua kitu chochote bali wewe unachofanya ni kualika watu pekee.
Basi bila kuendelea kupoteza muda mwingi basi moja kwa moja twende tukajifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza angalau dollar 4 kila siku kwa kualika watu kutumia tovuti. Hakikisha unafuata maelezo mwanzo mpaka mwisho nakuhakikishia utaweza kutengeneza pesa mtandaoni.
LINK ZA MUHIMU
  1. Bofya hapa kujiunga na Tovuti Hiyo
Guys kitu cha muhimu ni kujua kuwa njia hii haito kutajirisha bali inaweza kukupa mtaji wa kuweza kuanzisha kitu kingine ambacho kinaweza kukupa pesa mtandaoni kwa urahisi kwenye sikuzijazo. Pia kumbuka guys hakuna kitu kirahisi, kama unataka kufanikiwa kwenye njia hii hakikisha una alika watu wengi iwezekanavyo kwa kutumia link yako.
Update : Kuonyesha kwamba njia hii inafanya kazi kwa asilimia 100, Baada ya siku kadhaa za kutumia njia hii tayari njia hii inaweza kuingiza pesa kwenye akaunti yetu ya majaribio na nimeona niweke hapa data zinazoonyesha kiwango tulicho tengeneza hadi sasa leo tarehe 24-10-2019.
Jinsi ya Kutengeneza Angalau $4 Kila Siku Kwa Kualika Watu
Jinsi ya Kuongeza Kipato Zaidi
Unaweza kuchukua video hiyo hapo juu na kushare na watu wako kwenye Group la Facebook, WhatsApp au hata Telegrama na kisha chini yake waka link yako na watu wakielewa kupitia video hiyo wataweza kujiunga kwa kutumia link yako. Pia unaweza kutengeneza video yako mwenyewe ili kushauri watu kwa vitendo.
Kama kwa namna yoyote umeona njia hii ni ngumu kwako basi unaweza kuangalia njia nyingine nyingi ambazo zinapatikana kwenye tovuti hii ya Tanzania Tech kwenye kipingele cha pesa mtandaoni, kwa sasa unaweza kuanza na njia hii ya kutengeneza pesa kupitia WhatsApp.

No comments:

Post a Comment